Zanzibar (maana) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Zanzibar''' ni neno linalotaja
 
* kijiografia '''[[Funguvisiwa ya Zanzibar]]''' kwenye mwambao wa Afrika ya Mashariki hasa visiwa vikubwa vya [[Unguja]] na [[Kisiwa cha Pemba|Pemba]] pamoja na visiwa vidogovidogo
* kisiasa '''[[Jamhuri ya Watu wa Zanzibar]]''' ambayo eneo lake ni sawa na funguvisiwa ikiwa ni sehemu ya Jamhuri ya Maungano ya [[Tanzania]]
* kihistoria '''[[Usultani ya Zanzibar]]''' iliyoanzishwa baada ya kifo cha Sultani [[Sayyid Said]] na kugawiwa kwa Usultani ya [[Omani]] mwaka 1856 wakati mwanaye [[Sayyid Majid]] alipokuwa sultani wa kwanza wa Zanzibar akitawala funguvisiwa ya Zanzibar pamoja na pwani la [[Afrika ya Mashariki]] kati ya [[Mogadishu]] (leo mji mkuu wa [[Somalia]]) na Rasi ya Delgado (leo [[Msumbiji]] ya Kaskazini karibu na mto wa [[Ruvuma]]).
* '''[[Jiji la Zanzibar]]''' ambalo ni mji mkubwa wa Unguja na mji mkuu wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
* jina kwa kutaja filamu, vitabu, hoteli n.k. zilizotajwa kufuatana na ya neno lenyewe kama vile Jamhuri ya Zanzibar, fuguvisiwa vya Zanzibar, Jiji la Zanzibar, na matumizi ya jina kwa kutaja vitabu, filamu, mahoteli n.k.
* katika lugha nyingi kisiwa cha Unguja huitwa Zanzibar