John Saxon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: az:Con Sekson
d r2.7.2) (roboti Badiliko: ru:Сэксон, Джон; cosmetic changes
Mstari 5:
| maelezo_ya_picha = Saxon katika miaka ya 70.
| jina la kuzaliwa = Carmine Orrico
| alizaliwa = [[5 Agosti]], [[1936]]<br />Brooklyn, [[New York]], [[Marekani]]
| kafariki =
| jina lingine = John Saxon
Mstari 19:
'''John Saxon''' (amezaliwa tar. [[5 Agosti]], [[1936]]) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini [[Marekani]]. Saxon pia aliwahi kushiriki katika [[filamu za western]] ya [[Italia]], maarufu kama [[Spaghetti Western]], huko alikuwa akicheza kama askari.
 
== Maisha ya Awali ==
John Saxon, ni [[Italia|Mtaliano]] [[Marekani|Mmarekani]], alizaliwa kama '''Carmine Orrico''' mjini Brooklyn, [[New York]], [[Marekani]]. John alisomea masomo ya uigizaji, na alifundishwa na moja kati ya wafundishaji maarufu Bi. Stella Adler ni mwanamama maarufu katika masuala ya ufundishaji wa uigizaji nchini [[Marekani]]. John alijiingiza katika shughuli za uigzaji mnamo miaka ya 50 hivi, akawa anacheza sehemu za kushiriki kama mtoto.
 
John Saxon alibahatika kudhaminiwa na bwana Henry Willson, ni baada ya kuona picha ya Saxon katika kasha la gazeti la Dectetive, ndipo bwana Wilson akawasiliana mara moja na familia ya Saxon ilyoko mjini Broklyn, kisha bwana Wilson, kumchukua Saxon na kumpeleka Hollywood, kipindi hicho Saxon alikuwa ana umri wa miaka 16, baadae bwana Wilson akambadilisha jina akamwita Saxon, jina lake la kuzaliwa lilikuwa Carmine Orrico.
== Ona pia ==
* [[Spaghetti Western|Waongozaji na Waigizaji wa filamu za Western.]]
 
== Marejeo ==
# http://www.filmreference.com/film/25/John-Saxon.html
 
== Viungo vya Nje ==
*{{imdb name|0768334|John Saxon}}
 
Mstari 48:
[[pl:John Saxon]]
[[pt:John Saxon]]
[[ru:Джон Сэксон, Джон]]
[[tr:John Saxon]]