Tofauti kati ya marekesbisho "Lugha za Kisemiti"

1 byte added ,  miaka 8 iliyopita
 
== Lugha za Kisemiti leo ==
Lugha yenye wasemaji wengi ni Kiarabu. Wasemaji wengine wengi ni wale wanaotumia lugha za [[Ethiopia]] na [[Eritrea]] halafu [[Israel]]. Lugha hai za kisemiti ni pamoja na:
 
* [[Kiarabu]] ambacho kinazungumzwa kwa [[lahaja]] mbalimbali, ikiwa Kiarabu sanifu ni pia [[lugha rasmi]] katika nchi nyingi za [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Mashariki ya Kati]] (wasemaji milioni 200-220)
Anonymous user