Nikeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: ht:Nikèl
No edit summary
Mstari 1:
'''Nikeli''' ni [[dutu sahili]] ya [[metali]] na [[elementi]]. [[Namba atomia]] yake ni 28 katika [[mfumo radidia]], [[uzani atomia]] ni 58.6934. Katika mazingira ya kawaida ni [[metali]] ngumu yenye rangi nyeupe. Alama yake ni '''Ni'''.
 
Nikeli huyeyuka kwa 1728 [[K]] (1455 [[°C]]) na kuchemka kwa 3186 K (2913 °C).
 
Inaonyesha [[uchumasumaku]] kama [[chuma]]. Haijibutiki rahisi na [[oksijeni]] hivyo inatumiwa sana pamoja na chuma au metali kwa mchanganyiko au kama ganda la nje kwa kusidi la kuzuia [[kutu]].
 
Ina hatari zake kwa afya ya kibinadamu. Watu wasio wachache hupata [[mziro]] wakigusa nikeli mara kwa mara. Kwa sababu hiyo vifaa vya kiganga vilivyokuwa vya nikeli siku hizi vinatengenezwa ama na nikeli kidogo au bila.