Abdus Salam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Badiliko: he:עבדוס סלאם
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Abdus Salam.jpg|thumb|250px|Abdus Salam]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Abdus Salam''' ([[29 Januari]], [[1926]] – [[21 Novemba]], [[1996]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Pakistan]]. Hasa alichunguza [[usumaku]]. Mwaka wa 1979, pamoja na [[Sheldon Glashow]] na [[Steven Weinberg]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia''', Mwislamu wa kwanza kupata tuzo hiyo.