Kwale (ndege) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mabadilisho kadha
dNo edit summary
Mstari 14:
| spishi = Angalia katiba
}}
Kwale ni [[ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Francolinus]]'' na ''[[Xenoperdix]]'' katika [[familia]] [[Phasianidae]]. Spishi tatunne za ''Francolinus'' ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa [[kereng'ende (ndege)|kereng'ende]] pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni [[mbegu]], [[mdudu|wadudu]] na [[nyungunyungu]]. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.
 
Karibu spishi zote zinatokea [[Afrika]] lakini spishi tano zinatokea [[Asia]].
Mstari 53:
* ''Francolinus squamatus'', [[Kwale mabaka]] ([[w:Scaly Francolin|Scaly Francolin]])
* ''Francolinus streptophorus'', [[Kwale Shingo-nyeusi]] ([[w:Ring-necked Francolin|Ring-necked Francolin]])
* ''Francolinus swainsonii'', [[Kereng'ende wa Swainson|Kereng'ende]] au [[Kwale wa Swainson]] ([[w:Swainson's Francolin|Swainson's Francolin]])
* ''Francolinus swierstrai'', [[Kwale wa Swierstra]] ([[w:Swierstra's Francolin|Swierstra's Francolin]])
* Xenoperdix udzungwensis, [[Kwale wa Udzunga]] ([[w:Udzungwa Partridge|Udzungwa Partridge]])