Pierre Curie : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ta:பியேர் கியூரி |
No edit summary |
||
Mstari 4:
'''Pierre Curie''' (* [[15 Mei]] [[1859]] [[Paris]]/[[Ufaransa]] - + [[19 Aprili]] [[1906]]) alikuwa mwanafizikia Mfaransa aliyepokea [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] wa mwaka 1903 pamoja na mke wake [[Marie Curie]] na [[Henri Becquerel]].
Alichunguza misingi ya [[sumakuumeme]]. Pamoja na mke wake aligundua elementi za [[poloni]] na [[radi (elementi)|radi]]. Maelezo yao yaliunda misingi wa kuelewa unururifu wa kinyuklia. Pierre Curie alishirikiana na mkewe Marie Curie katika ugunduzi wa elementi za radi na poloni na kupata tuzo ya Nobel ya kemia. Pierre Curie alikufa kutokana na ajali ya gari.
== Viungo vya Nje ==
|