Chomboanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
* '''[[Puto]]''' - ni fuko kubwa lenye ganda la kitambaa au plastiki lisilopenya gesi. Hujazwa gesi nyepesi hasa [[heli]] kwa kusidi ya kupazwa hewani. Puto kubwa lina nguvu elezi ya kutosha ya kubeba mizigo kama chumba cha abiria kadhaa.
* '''[[Ndegeputo]]''' (au '''purutangi''') ni kama puto kubwa linalobeba behewa kwa abiria au mizigo ikisukumwa na injini kama eropleni.
** Ndegeputo kubwa zaidi zina chumba kikubwa cha gesi chenye fremu imara inayobeba ganda. Mfano wake ni hasa ndegeputo aina ya [[Zeppelin]] zilizosafirisha abiria kati ya [[Ulaya]] na [[Brazil]] au [[Marekani]] kabla ya [[vita kuu ya pili ya dunia]]. Baadaye zilipitishwazilipitiwa na ndege kubwa. Hadi leo kuna majaribio ya mara kwa mara ya kuzirudisha kwenye usafiri lakini ni chache tu zinazojengwa.
**[[Blimp]] ni puto kubwa bila fremu ianyohitaji shindikizo la ndani lililo kubwa kuliko shindikizo ya angahewa. Kuna takriban blimpi 30-40 za kibiashara duniani.