Baba Tabita

Joined 30 Aprili 2006
hesabu ya kisasa
No edit summary
(hesabu ya kisasa)
Nimetoka [[Ujerumani]] lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa [[isimu|kiisimu]], na lengo langu ni kukuza matumizi ya [[Orodha ya makabila ya Tanzania|lugha za Tanzania]]. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya [[Kiswahili]].
 
Tarehe 224 JuniJanuari 20102012 nimefikisha michango [http://toolserver.org/~purodha/sample/dbswithuser.php?usr=Baba_Tabita&go=Go!&uselang=en 2530,000].
 
Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia mwezi wa Februari 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako siingii mtandaoni hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!
62,394

edits