Tofauti kati ya marekesbisho "Kiswahili"

 
== Kimataifa ==
Lugha hii leo imekuwa na umuhimu mkubwa duniani kwa jumla, na hasa [[AfrikaAfrica]], kwa sababu ya kuenea kwake nchi mbali mbali, na kukusanya kwake watu wa makabila na nchi kadha wa kadha wakaweza kufahamiana kwa lugha moja, hasa ilivyokuwa ni lugha mojawapo katika lugha kubwa za AfrikaAfrica ambazo zinachukuwa mahala pa lugha za kigeni zilizoletwa na [[Ukoloni|Wakoloni]], kama [[KifaransaKiarabu]], [[KiingerezaKiurdu]], [[KitaliaKihebrania]], [[Kireno]] na kadhalika.
 
Leo, imekuwa inatumiwa katika kusambaza habari katika vituo mbali mbali ulimwenguni kama vile [[Sauti ya Amerika]], [[BBC]], [[Deutsche Welle]], [[Monte Carlo]], na nchi nyenginezo za [[Uchina]] na Urusi na [[Irani]] na kwengineko. Aidha, imekuwa ni mojawapo ya lugha muhimu zinazofundishwa katika vyuo vikuu nchini [[Marekani]], [[Uingereza]], [[Ulaya]], [[Urusi]], [[Uchina]], na barani Afrika.
Anonymous user