hizi kitabu kimekuwa hasa mkusanyo wa kurasa za [[karatasi]] zilizochapishwa. [[UNESCO]] imetoa elezo kuwa kitabu ni tangazo kwa umma lililochapishwa lenye kurasa zisizopungua 49.
[[Picha:Latin dictionary.jpg|thumb|250px|Vitabu]]
'''Kitabu''' ([[Kar.]] '''كتاب''' ''kitabun'') ni mkusanyo wa kurasa zilizofungwa pamoja kwa njia ya kudumu. Siku hizi kitabu kimekuwa hasa mkusanyo wa kurasa za [[karatasi]] zilizochapishwa. [[UNESCO]] imetoa elezo kuwa kitabu ni tangazo kwa umma lililochapishwa lenye kurasa zisizopungua 49.
Lakini kuna pia vitabu vyenye kurasa tupu vitakavyoandikiwa kwa [[mkono]]. Hadi [[karne ya 15]] [[BK]] vitabu vyote viliandikwa kwa mkono kwa kutumia [[kalamu]] na kwa sababu hii vilikuwa vichache na bei ilikuwa juu. [[Johannes Gutenberg]] alibuni mashine ya kuchapisha vitabu iliyofaulu na kurahisisha vitabu sana.
Siku hizi vitabu hutolewa pia kwa njia ya [[mtandao]] au [[CD]] kama vitabu pepe.
Kitabu kilichochapishwa mara nyingi duniani ni [[Biblia ya Kikristo]] imetolewa kwa nakala bilioni 5-6.
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.wikihow.com/Read-a-Book WikiHow article on How to read a Book]
* [http://books.google.com Google Book Search (Beta)]
{{mbegu-kitabu}}
{{mbegu-lugha}}
[[Jamii:Kitabu]]
[[Jamii:Fasihi| ]]
{{Link FA|la}}
[[af:Boek]]
[[an:Libro]]
Line 45 ⟶ 37:
[[en:Book]]
[[eo:Libro]]
[[kitabu ni sehemu iliyokusanya kurasa na kuelezea hadith au habari fulani kwa mfano gazeti ni kitabu kwasababu limekusanya kurasa na habari taslim