Kariobangi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kariobangi''' ni mtaa wa [[Nairobi]] ulio upande wa mashariki wa Nairobi kati ya [[Dandora (Nairobi)|Dandora]] na [[Huruma (Nairobi)|Huruma]]. Kuna Kariobangi North na Kariobangi South; nyumba ziko za ghorofa lakini bilapia vibandamabanda-vibandamabanda.
 
Mtaa huu unajulikana sana kwa malori ya kusafirisha vifaa vya ujenzi kama vile changarawe, mawe na kadhalika.