Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo
Mstari 47:
|}
''
'''Tanzania''' ni [[nchi]] iliyoko [[Afrika]] ya Mashariki]]. Imepakana na [[Uganda]] na [[Kenya]] upande wa Kaskazini, [[Bahari Hindi]] upande wa mashariki, [[Msumbiji]], [[Malawi]] na [[Zambia]] upande wa kusini, [[Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia|Kongo]], [[Burundi]], [[Rwanda]] na [[Uganda]] upande wa magharibi.
 
Nchini Tanzania kuna [[lugha]] za [[kabila|kikabila]] zaidi ya mia moja. Hakuna [[lugha rasmi]] ya [[sheria]]. Lakini [[Kiswahili]] ni lugha ya kitaifa ya Tanzania. Kiswahili kinatumika kama lugha baina ya watu wa makabila mbalimbali na kwa mambo ya rasmi; kwa hiyo Kiswahili ni lugha rasmi ya [[dhati]]. Baada ya [[uhuru]], [[Kiingereza]] (iliyokuwa lugha ya [[ukoloni|kikoloni]] kabla ya uhuru) iliendelea kutumika kwa mambo kadhaa rasmi, na kwa hiyo ilichukuliwa lugha rasmi ya dhati pamoja na Kiswahili. Lakini utumizi wa rasmi wa Kiingereza imepungua katika milongo iliyopita, na sasa utumizi huu karibu umekwisha. Kwa hiyo siku hizi ni kawaida zaidi kuchugulia Kiswahili kama lugha rasmi ya dhati ya pekee.
Mstari 58:
''(kuhusu historia ya maeneo ya Tanzania kabla ya 1964 angalia makala za [[Tanganyika (nchi)|Tanganyika]], [[Zanzibar]] na [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]])''
 
Jina "Tanzania" limeundwa kutokana na majina ya [[Tanganyika|TANganyika]] na [[Zanzibar|ZANzibar]] (pamoja na athira ya jina la kale la "[[Azania]]").
 
Nchi hizo mbili zilikuwa zote chini ya utawala wa [[Uingereza]] hadi kupata uhuru lakini hazikuwa ma[[koloni]] ya kawaida. Zanzibar ilikuwa na hali ya [[nchi lindwa]] kutokana na mikataba kati ya masultani wa Zanzibar na Ufalme wa Uingereza. Tanganyika iliwahi kuwa sehemu ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] hadi [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] halafu ikawa chini ya Uingereza kama [[eneo la kudhaminiwa]] kutokana na azimio la [[Shirikisho la Mataifa]] iliyoweka Tanganyika katika ngazi "B" ya maeneo ya kudhaminiwa.