Tanganyika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza kidogo
No edit summary
Mstari 6:
Tanganyika ilikuwa koloni ya [[Uingereza]] kuanzia 1919 na nchi huru kati ya 1961 hadi 1964. 1964 iliungana na Zanzibar na kuwa sehemu ya Jamhuri ya Maungano ya Tanzania.
 
== Chanzo katika Kolonikoloni ya Kiingereza baada ya kuondoka kwa WajerumaniKijerumani ==
Maeneo yaliyoitwa baadaye "Tanganyika" yaliunganishwa mara ya kwanza tangu mwaka 1886 kama [[koloni]] ya [[Ujerumani]] iliyoitwa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]]. Kabla ya kufika kwa ukoloni kulikuwa na madola madogo mbalimbali na maeneo madogo ya kikabila. Kanda la pwani pamoja na njia za misafara kuelekea [[Ziwa Tanganyika]] vilikuwa chini ya athira ya [[Usultani wa Zanzibar]].
 
Tangu 1885 Karl Peters kwa niaba ya Shirika la Ukoloni wa Kijerumani (Gesellschaft für Deutsche Kolonisation) alianza kufanya mikataba na watawala wa kienyeji katika maeneo ya Usagara, Nguru, Useguha und Ukami iliyoweka msingi kwa madai yake ya kuchukua utawala mkuu wa maeneo haya. Uenezeaji wa Wajerumani uliendelea hasa baada ya kushinda upinzani katika [[vita ya Abushiri]] na vita dhidi ya Wahehe.
 
Koloni ile ya kijerumani ilikuwa kubwa zaidi kuliko Tanganyika ya baadaye maana ilijumlisha pia maeneo ya [[Rwanda]] na [[Burundi]] pamoja na sehemu ndogo ya [[Msumbiji]].
 
Line 13 ⟶ 16:
 
 
== KoloniTanganyika Territory ya Kiingereza baada ya kuondoka kwa Wajerumani ==
1919 sehemu kubwa ya koloni ya Kijerumani ilikabidhiwa rasmi mkononi mwa Uingereza kama [[eneo lindwa]] chini ya mamlaka ya [[Shirikisho la Mataifa]] kulingana na kifungo 22 cha mkataba wa Versailles. Mwaka 1922 Shirikisho la Mataifa lilithebitisha hatua hii na kuamua masharti ya kukabidhi.
 
Line 30 ⟶ 33:
 
 
[[Jamii:Historia ya Tanzania]]
[[Jamii:Nchi ya Kihistoria ya Afrika]]