Mkoa wa Sistan na Baluchistan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sistan and Baluchistan in Iran.svg|thumb|250px|Mahali pa mkoa wa Sistan na Baluchistan katika Uajemi]]
Sistan na Baluchistan ([[kaj.]] ‏سيستان و بلوچستان‎) ni moja wa mikoa 30 ya [[Uajemi]]. Makao makuu yako mjini [[Zahedan]].
 
Mwaka 2006 idadi ya wakazi ilikuwa watu 2,405,742. Mkoa una eneo la 181,785 [[km²]] na msongamano wa wakazi 13 kila kilomita ya mraba.