Alfabeti ya Kigiriki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: diq:Alfabeyê Yunanki
http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Greek_alphabet&action=historysubmit&diff=386771619&oldid=385978133 I now find *no* evidence at all that anybody outside Wikipedia and one or two amateur websites *ever* used "disigma". That name is a phantom.
Mstari 12:
 
== Maana ya namba ==
Kila herufi ilikuwa pia na matumizi kama namba kwa sababu Wagiriki wa Kale hawakuwa na alama za pekee za namba. Herufi tatu za kihistoria ambazo hazikutumiwa tena kwa maandishi ziliendlea kama alama za namba yaani Wau au Stigma = 6 (alama ς), Heta = 8, San, Sho au Koppa = 90 (alama ϙ au ϟ) na DisigmaSampi = 900 (alama ͳ au ϡ au kama kwenye sanduku).
 
Kwa kutofautisha herufi na namba alama yake ilipewa mstari mdogo juu yake kama αʹ = 1, βʹ = 2, γʹ = 3. Kwa namba kuanzia 1,000 mstari upande wa kushoto uliongezwa, kwa mfano ͵α = 1,000, ͵β = 2000, ͵βηʹ = 2008.