Unyafuzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Unyafuzi ni aina kali ya utapiamlo inayosababishwa na ukosefu wa protini ya kutosha katika chakula. Dalali ya unyafuzi ni unpungufu wa uzito, kuchoka sana, na...'
 
No edit summary
Mstari 1:
Unyafuzi ni aina kali ya utapiamlo inayosababishwa na ukosefu wa [[protini]] ya kutosha katika chakula.
 
Dalali ya unyafuzi ni unpungufu wa uzito, kuchoka sana, na uvimbe wa tumbo.
 
Maana kwa kuzuia unyafuzi ni kula vyakula viliyo na [[protini]], kwa mfano:
 
Nyama za aina mbalimbali (ya [[ng'ombe]], [[kuku]], [[mbuzi]], [[samaki]], [[maini]], na kadhalika.), [[Maharagwe]], [[Maziwa]], [[Mayai]]
Maharagwe
Maziwa
Mayai