Mauti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: war:Kamatayon
No edit summary
Mstari 4:
* umri mkubwa unaosababisha michakato ya kimsingi mwilini kusimama polepole
* muda mrefu wa maisha unaoruhusu makosa na kasoro kujumuika na kusababisha madhara (mfano: [[kansa]])
* magonjwa yanaovurugishayanayovurugisha michakato ya uhai hadi kuisimamisha
* ajali zinazoharibu viungo muhimu mwilini
* ukosefu wa chakula, maji, hewa au kinga dhidi ya mazingira magumu
* athiraathari haribifu kutoka viumbe wengine (k.m. kushambuliwa) au kutoka mazingira
 
Kwa binadamu kutokea kwa kifo mara nyingi hakutokei mara moja; katika mazingira ya kawaida kifo kinaonekana kama moyo hausikiki tena na mapafu hayakupumua kwa dakika kadhaa. Lakini hata hivyo kuna uwezekano ya kwamba kazi ya moyo na mapafu ni hafifu kiasi haitambuliki. PenyaPenye hospitali nzuri na mitambo ya kiganga mara nyingi mtu anarudi katika maisha kama ameshatazamiwa ameaga dunia mahali pengine. Kama mashine zineendelea kuchukua kazi ya moyo na mapafu si rhbisirahisi kujua kifo kinatokea kinilini. Wataalamu wengi siku hizi wanaonawanapoona mara michakato ya kawaida ya ubongo imekwisha, kifo kimetokea.
 
== Mauti na utamaduni ==
Katika utamaduni na imani za watu mauti ni jambo muhimu. Lugha ina njia nyingi yaza kuitaja kwa mfano kuaga dunia, kufariki n.k.
 
Katika [[dini]] na [[falsafa]] kuna misimamo mbalimbali kuhusu mauti kama vile