Jimbo Katoliki la Musoma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Jimbo Katoliki la Musoma''' (kwa Kilatini Dioecesis Musomensis) ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Jimbo Katoliki la Musoma''' (kwa [[Kilatini]] Dioecesis Musomensis) ni mojawapo kati ya ma[[dayosisi|jimbo]] 34 ya [[Kanisa Katoliki]] nchini [[Tanzania]] na kama hayo yote linafuata [[mapokeo ya Kiroma]].
 
Eneo lake ni la kilometa mraba 25,150 ([[Mkoa wa Mara]] isipokuwa [[wilaya ya Bunda]] na [[parokia]] mbili katika [[wilaya ya BundaMusoma vijijini]]) na lina wakazi 1,040,000, ambao kati yao Wakatoliki ni 215,000 (20.7 %). Parokia ziko 30.
 
Kikanisa linahusiana na [[Jimbo Kuu la Mwanza]].