Migoli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 11:
Wafadhili wa miradi mbalimbali ni kama vile [[parokia]] [[Kanisa Katoliki|katoliki]] ya Migoli na makampuni ya mawasiliano kama vile Zain, Tigo, Vodacom na Zantel.
 
Kijiji asili kilikua sana baada ya serikali juanza kujenga bwawa la Mtera na kulazimisha watu walioishi bondeni na pembezoni mwamkondo wa mto Ruaha wasogee ikiwa ni misaka ya 1980. Wazee wa kwanza walioshi katikamitaa miwili ya Migoli na Makonge walikuwa Maulidi Ndilwa, Nyakunga, Simili Magomba, Paulo Magomba, Madekedeke, Kinyaga pamoja na familia zao.
 
Tangu kuanzishwa kwa Bwawa la Mtera na kijiji cha Migoli, shughuli ya uvuvi iliikikuza sana kijiji cha Migoli kwa kuwa Migoli imekuwa mahali pa biashara yaani watu kutoka makambini(makazi yasiyo rasmi ya uvuvi) walikuwa wakiuzia samaki kwenys kijiji cha Migoli. Hata hivyo wafanyabiashara wa samaki wamekitumia kijiji cha Migoli kuwa sehemu yao ya kufikia kabla ya kwenda kwenda kwenya makambi. Makambi yanayokitegemea kijiji cha migoli ni Nyegere, Mabati, Mapere Mengi, Mandela, Kilamba kitali, Changalawe namengine mengi