Migoli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Unapatikana kando ya [[Bwawa la Mtera]] ambako wakazi wengi hutegemeza maisha yao katika [[uvuvi]].
 
Eneo hili lina [[rutuba]] lakini [[mvua]] ni chache (kwa kawaida haifikii mm. 300 kwa mwaka), hivyo wakazi hawajishughulishi sana na [[kilimo]], hivyo wananunua [[nafaka]] kutoka sehemu ambazo zinalimwa kwa wingi, kama vile [[Ismani]] tarafani na [[Mtamba]] [[mkoa wa Dodoma]].
 
Kumbe ni eneo maarufu kwa [[ufugaji]], hasa wa [[ng'ombe]] na [[mbuzi]], wanaostawi katika [[mbuga]] isiyo na [[malale]].
 
Eneo hili, ambapo inapita [[barabara]] kuu ya [[Afrika]] kutoka [[Misri]] hadi [[Afrika Kusini]] (ingawa sehemu hii kati ya [[Dodoma]] na [[Iringa]] haijatiwahaimalizika kutiwa lami), ni endelevu hasa ukilinganishwa na vijiji vingine vya nchi ya Tanzania, kwa kuwa una huduma nyingi za jamii ambazo zimetokana na juhudi za [[serikali]] na wananchi wenyewe.
 
Wafadhili wa miradi mbalimbali ni kama vile [[parokia]] [[Kanisa Katoliki|katoliki]] ya Migoli na makampuni ya mawasiliano kama vile Zain, Tigo, Vodacom na Zantel.
 
Kijiji asili kilikua sana baada ya [[serikali]] juanzakuanza kujenga bwawa la Mtera na kulazimisha watu walioishi bondeni na pembezoni mwamkondomwa mkondo wa [[mto Ruaha]] wasogee ikiwa ni misaka[[miaka ya 1980]]. Wazee wa kwanza walioshi katikamitaakatika mitaa miwili ya Migoli na Makonge walikuwa Maulidi Ndilwa, Nyakunga, Simili Magomba, Paulo Magomba, Madekedeke, Kinyaga pamoja na [[familia]] zao.
 
Tangu kuanzishwa kwa Bwawa la Mtera na kijiji cha Migoli, shughuli ya uvuvi iliikikuza sana kijiji cha Migoli kwa kuwa Migoli imekuwa mahali pa biashara yaani watu kutoka makambini(makazi yasiyo rasmi ya uvuvi) walikuwa wakiuzia samaki kwenys kijiji cha Migoli. Hata hivyo wafanyabiashara wa samaki wamekitumia kijiji cha Migoli kuwa sehemu yao ya kufikia kabla ya kwenda kwenda kwenya makambi. Makambi yanayokitegemea kijiji cha migoli ni Nyegere, Mabati, Mapere Mengi, Mandela, Kilamba kitali, Changalawe namengine mengi
 
Tangu kuanzishwa kwa Bwawa la Mtera na kijiji cha Migoli, shughuli ya uvuvi iliikikuzailikikuza sana kijiji cha Migoli kwaambacho kuwa Migoli imekuwakimekuwa mahali pa [[biashara]] yaani watu kutoka makambini (makazi yasiyo rasmi ya uvuvi) walikuwa wakiuzia [[samaki]] kwenyskwenye kijiji cha Migoli. Hata hivyo wafanyabiashara wa samaki wamekitumia kijiji cha Migoli kuwa sehemu yao ya kufikia kabla ya kwenda kwenda kwenya makambi. Makambi yanayokitegemea kijiji cha migoli ni Nyegere, Mabati, Mapere Mengi, Mandela, Kilamba kitali, Changalawe namengine mengi
 
Hata hivyo wafanyabiashara wa samaki wamekitumia kijiji cha Migoli kuwa sehemu yao ya kufikia kabla ya kwenda kwenye makambi. Makambi yanayokitegemea kijiji cha Migoli ni Nyegere, Mabati, Maperamengi, Mandela, Kilambakitali, Changalawe na mengine mengi.
 
Hatimaye kijiji kimemegwa na kuzaa kijiji kipya cha [[Mtera]] upande wa kaskazini.
[[Jamii:Mkoa wa Iringa]]
 
 
{{mbegu-jio-TZ}}