Mahindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Maandishi yaliyokuwepo yalichukuliwa nafasi na 'thumb||Mashuke ya aina mbalimbali ya mahindi '''Mahindi''' ni mbegu za mmea mhindi na chakula muhimu cha watu katika pa...'
d Masahihisho aliyefanya 196.46.120.110 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Erik Warmelink
Mstari 2:
'''Mahindi''' ni mbegu za mmea [[mhindi]] na chakula muhimu cha watu katika pande nyingi za dunia.
 
Ni nafaka yenye wanga na katika [[Afrika ya Mashariki]] huliwa hasa kama [[ugali]]. Ugali hutengenezwainatengenezwa kwa kutumia unga wa mahindi. Mahindi mabichibichi isiyokauka huliwa pia kwa kuchomakukaanga shuke lote juu ya moto.
 
Mahindi yaliyosagwa hutumiwa pia kwa kutengenezeakutengeneza [[pombe]] ya kienyeji.
 
{{mbegu-mmea}}
Mstari 10:
 
'''Mahindi'''
 
"Makala hii ni kwaajili ya mmea na nafaka inayopatikana huko Amerika."
 
==Utangulizi==
 
Mhindi, (kisayansi: ''[[Zea mays]]''), ni nyasi iliyoanza kulimwa na watu wa kale wa Amerika tangu nyakati za kale. Watu wa Amerika walilima mahindi ya aina mbalimbali katika Amerika. Tamaduni za Mississippi, jimbo ambalo mji wake mkuu na nyumbani mwa utawala wa Cahikia ambako sasa ni ilipo Illinois ya sasa, ulifikia kilele chake mwaka 1250 CE, na kuwa na watu wengi na kukua kibiashara kutokana na kilimo cha mahindi. Mfano mwingine ni wanawake wa Pawee, kwenye Nyanda za Kuu, walifahfamika kwa kulima aina kuu mbili za mahindi mnamo mwishoni mwa karne ya 18. Baadaya waut wa Ulaya kufika Marekani, wafanyabiashara na wachunguzi walibeba mahindi mpaka Ulaya na kuyatambulisha kwenye nchi nyingine kupitia biashara. Matumizi yake yakaenea dunia nzima.
 
Mahindi ndio zao lialolima kwa wingi kuliko yote huko Amerika (tani za metriki milioni 332 kila mwaka kwa Marekani Pekee). Mahindi mahuluti yanapendwa na wakulima wengi kwasababu ya mazao yake mengi baada ya kubadilisha kizazi chake. Wakati baadhi mimea ya mahindi’ ikikua hata kufikia urefu wa mita 7, yale yanayokuzwa kibiashara mengi huwa na urefu wa mita 2.5. mahindi aina ya Sweet corn fupi zaidi kuliko aina nyingine za mahindi.
 
==Maumbile na tabia za kimaumbile==
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:Cornsilk_7091.jpg]]
mmea mchanga wa mahindi.
 
Mashina ya mahindi hufanana kwa nje na miti ya mianzi, na pingili zake zinaweza kufikia hata sm 20 – 30 kwa urefu. Mahindihukua haraka kwa utaratibu maalumu; majanii ya chini yakiwa kama bendera pana, yenye urefu wa sm 50 – 100 naupana wa sm 5 – 10; mashina husimama wima, maranyingi mita 2 – 3, na ki=uw ana majani mengi yaliyomwagika kila upande. Chini ya majani haya nakaribu ya shina hukua mashuke. Hukua na kuongezeka urefuk wa milimita 3 kwa siku.
Mashuke haya ni sehemu ya kike yam mea wa mahindi, ikiwa imefungwa vizuri na majani ya kutosha, na hivyo kufunikwa kwenye shina mpaka pale itakapojitokeza ndevu za njano mweishoni mwa mashuke hayo. Mashuke hayo kimsingi ni stigima ndefu ambazo huonekana kama mrundikanao wa nywele, awali wenye rangi ya kijanai lakini baadae huw ana rangi ya njano. Jamii nyingine za mahindi zimezalishwa kuzalisha mashuke mengi zaidi.
 
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:GreenCorn.JPG]]
mmea wa mahindi ukionesha mashuke, kikojyo na ndevu za mahindi.
Ncha ya shina huishia kwa shada, iitwayo mbelewele, sehemu ya ua ya kiume ya mmea wa mahindi. Kisha mbelewele kukomaana hali ikiwa kavu na yenye joto la kutosha, basi poleni kutoka sheme hiyo ya kiume ya ua huachiwa tayari kw auchavushaji. Poleni za mahindi husafirishwa kwa upepo na huweza kusafirimita kadhaa. Ndevu zile huweza kupokea poleni, kila shuke huzalisha muhindi. Na huweza kuliwa yakiwa mabiichi lakini kadiri muda unavyozidi kwenda nayo huzidi kuw makavu. Na mpaka mwisho wa msimu wa mavuno huwa ni vigumu kabisa kutafuna na huhitaji kwanza kulainishwa kwa kuchemshwa. Namana bora za kilimo hupenda kuzalisha muhindi mmoja kwa kila mmea ilikupata wenye ukubwa mzuri na wenye kufaa.
 
 
==Mbegu==
 
Mbegu za mahindi huw ana sehemu ya nje iliyoungana na gamba la nje la mbegu, kama ilivyo kawaida kwa mimea mingi ya jamii ya nyasi. Muhindi huwa na mbegu nyingi, ambazo huwa hazuungani hata maramoja , na nkila moja ikiwa na ukubwa wa kama njegere hivi, zikiwa zimejipanga kwenye mistari kuzunguka gunzi ambamo zimejishikiza. Gunzi moja huweza kuwa na punje za mahindi takribanui 200 – 400, na huwa na urefu wa sentimita 10 -25. Pia huwa na rangi mbalimbali: nyeusi, kijivu, nyekundu, hudhurungi, nyeupe na njano. Zinaposagwa kuwa unga, unga wa mahindi hupatikana kwa kiasi kikubwa, huku ukiwa na makapi kidogo kuliko ngano. Lakini unga wa mahindi huwa unakosa protini muhimu ya ngano, na hivyo, kufanya uokaji kushindwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuumuka na kufanana.
 
 
==Kiwango cha uzalishaji na mbinu.==
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:2005maize.PNG]]]
kiwango cha uzalishaji wa mahindiduniani 2005
 
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:Iowa_harvest_2009.jpg]]
uvunaji wa mahindi wakati wa uvunaji wa rekodi huko Jones County, Iowa, mnamo 2009
 
mahindi yanalimwa duniani kote, na uzito wa mahindi huzalishwa kila mwaka zaidi ya mwaka uliopita. Wakati Marekani ikizalisha karibu nusu ya mahindi yote duniani, ( ~42.5%), nchi nyingine zinazoafanya vizuri ni China, Brazili, Meksiko, Argentina, India an Ufaransa. Uzalishaji wa dunia ni karibu tani milioni 800 mwaka 2007, juu kidogo tu ya mchele ( tani milioni 650) na ngano ( ~tani milioni 600). Mwaka 2007, zaidi ya hekta milioni 150 za mahinid zilipandwa duniani nzima, kwa zaidi ya kg 4970.9 kwa hekta. Mazao yanaweza kuwa zaidi ya hapa kwa baadhi ya maeneo mengine duniani; utabiri wa mwaka 2009 unaonesha Iowa ingezalisha kg 11614 kwa hekta.
 
 
==Matumizi==
[[Picha:CornShocksForestvilleMinnesota2006.JPG|thumb|mahindi yakivunwa kwa namna ya asili]]
 
===Kama chakula===
 
Mahindi hutumika kama chakula kikuu kwa maeneo mengi duniani. Mlo wa mahindi huliwa kama uji mzito (mfano Tanzania na Nchi nyingi wa Afrika Mahsariki huita “ugali”), katika tamaduni nyingi: kuanzia huko Italia kama poleta, Brazili kama angu, Romania kama mamaliga mpaka mush huko Marekani au sadza, nshima, ugali na mealie pap katika Afrika. Mlo wa mahindi pia hutumika badala ya unga wa ngano, kutengeneza baadhi ya aina ya mikate na vyakula vingine vya kuoka.
Bisi ni mahindi ya pekee ambayo hupasuka na kufanyiza chakula kitamu ambacho huliwa kama chakula cha kutafuna. Pia mahindi yakiwa bado lauini kidogo yaweza kuchomwa na kuliwa tena kwa kutafuna, na huweza kuongezwa ladha kwa kutia chumvi, pilipili au viungo vingine. Hicho ni baadhi ya chakula maarufu huko Vietnamu.
Chicha na “chicha morada” ni baadhi ya vinywaji maarufu vinavyotengenezwa kwa aina fulani ya mahindi. Hicho cha kwanza huchachushwa na huwa na kilevi, huku cha pili ni kinywaji baridi na hunywewa sana huko Peru.
 
[[Picha:Sweet White Corn.jpg|thumb|mahindi aina ya Sweet White Corn]]
 
mahindi pia yana wezsakutunmiwa yakiwa hayajaiva, wakati yamekomaa lakini bado ni laini. Katika hali hii huweza kuchemshwa ili kuwa na ladha nzuri, na kula punje zake kutoka kwenye gunzi. Wakati mwingine mbegu hizo kisha kuchemshwa hupukuchuliwa na kuchanganywa na mboga majani nyingine kama vile saladi wakati wa kuandaa chakula. Pia huweza kupikwa na vykula vingine kutoa mchanganyiko wa makande, purée, tamales, pamonhas, curau, keki, n.k. mahindi aina ya Sweet Corn huwa na ladha nzuri sababu ya kiasikikubwa cha sukari na wanga mpaka kuweza kuliwa yakiwa katika hali ya ubuchi.
 
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:243820490_e7d1bfc0f0_o.jpg]] = mchuuzi wa mahindi ya kuchoma huko India.
 
[[Kiwango cha virutubisho vya mahindi]]
Carbohydrates
19.02 g
Sugars 3.22 g
Dietary fiber
2.7 g
Fat
1.18 g
Protein
3.22 g
Tryptophan
0.023 g
Threonine
0.129 g
Isoleucine
0.129 g
Leucine
0.348 g
Lysine
0.137 g
Methionine
0.067 g
Cystine
0.026 g
Phenylalanine
0.150 g
Tyrosine
0.123 g
Valine
0.185 g
Arginine
0.131 g
Histidine
0.089 g
Alanine
0.295 g
Aspartic acid
0.244 g
Glutamic acid
0.636 g
Glycine
0.127 g
Proline
0.292 g
Serine
0.153 g
Water
75.96 g
Vitamin A equiv.
9 µg (1%)
- lutein and zeaxanthin
644 µg
Thiamine (Vit. B1)
0.200 mg (15%)
Niacin (Vit. B3)
1.700 mg (11%)
Folate (Vit. B9)
46 µg (12%)
Vitamin C
6.8 mg (11%)
Iron
0.52 mg (4%)
Magnesium
37 mg (10%
Potassium
270 mg (6%)
 
 
Huko Marekani na Kanada mahindi hutumiwa sana kwaajili ya chakula cha mifugo, au mbegu. Mlo wa mahindi pia ni viungo vya chakula maalumu cha mazao ya wanyama kama vile, hot dog.
Mahindi pia hutumika huko ulaya kama chambo cha kuvulia samaki.
Kemikali na madawa.
 
Wanga unaopatikan kwenye mahindi unaweza kutumika kutengeneza plastiki, madawa na bidhaa nyingine za kikemikali.
Stigima kutoka kwenye sehemu ya kike ya ua la mmea wa mahindi huuzwa kama dawa.
 
==Utengenezaji wa fueli==
Mahindi pia hutumika kutengenezea fueli kutoka kwenye mabaki yake ya mimea. Magunzi yake pia hutumika kama chanzo cha nishati. Mahindi hupatikana kwa urahisi, na kufanya upatikanaji wa nishati hiyo nyumbani kuwa rahisi zaidi.