Igor Tamm : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: eu:Igor Tamm
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Igor Tamm.jpg|thumb|220px|{{PAGENAME}}]]
 
'''Igor Yevgenyevich Tamm''' ([[8 Julai]], [[1895]] – [[12 Aprili]], [[1971]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Urusi]]. Hasa alichunguza uhusiano kati ya [[elektroni]] na nuru. Mwaka wa [[1958]], pamoja na [[Pavel Cherenkov]] na [[Ilya Frank]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.