Walter Brattain : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:والتر هاوسر براتین
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Brattain.jpg|thumb|220px|{{PAGENAME}}]]
 
'''Walter Houser Brattain''' ([[10 Februari]], [[1902]] – [[13 Oktoba]], [[1987]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alichunguza uhandisi wa umeme na kuvumbua [[transista]]. Mwaka wa [[1956]], pamoja na [[William Shockley]] na [[John Bardeen]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.