Hideki Yukawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ta:ஹிடேகி யுகாவா
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Yukawa.jpg|thumb|220px|{{PAGENAME}}]]
 
'''Hideki Yukawa''' ([[23 Januari]], [[1907]] – [[8 Septemba]], [[1981]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Ujapani]]. Hasa alichunguza vijipande vya [[atomu]]. Mwaka wa [[1949]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''.