Andhra Pradesh : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (roboti Nyongeza: bs:Andhra Pradesh
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:India Andhra Pradesh locatorin India (disputed maphatched).svg|thumb|250px|Mahali pa Andhra Pradesh katika [[Uhindi]]]]
[[Picha:Andhra Pradesh locator map.svg|thumb|right|250px|Ramani ya Andhra Pradesh]]
'''Andhra Pradesh''' ({{lang-te|ఆంధ్ర ప్రదేశ్}}, {{lang-ur|آندھرا پردیش}}), ni moja kati ya majimbo 28 ya [[India]]. Jimbo lipo mjini kusini-mashariki mwa pwani ya [[India]]. Ni jimbo la nne kwa ukubwa wa eneo na ni la tano kwa hesabu ya wingi wa wakazi nchini India. Mji mkuu wake ni [[Hyderabad]]. Jumla ya pato la ndani ya Pradesh ni dola za Kimarekani zipatazi bilioni 100 na imeshika nafasi ya tatu miongoni mwa majimbo yote ya India.<ref>{{cite web|url=http://unidow.com/india%20home%20eng/statewise_gdp.html |title=State Domestic Product of India 2010-11 &#124; State-Wise GDP 2010 &#124; District GDP of India &#124; State-wise Population 2011 &#124; VMW Analytic Services |publisher=Unidow.com |date= |accessdate=2011-10-08}}</ref> Jimbo hili ni la pili kwa ukuwa na ukanda wa pwani ulio-mkubwa zaidi ambamo kuna {{convert|972|km|mi|abbr=on}} miongoni mwa majimbo yote ya India.<ref>{{cite web|url=http://www.aponline.gov.in/quick%20links/apfactfile/apfactmain.html |title=Citizen Help |publisher=APOnline |date=1 November 1956|accessdate=3 March 2009}}</ref> Lugha ya kwanza mjini Andhra Pradesh ni [[Kitelugu]] na [[Kiurdu]] ni lugha rasmi katika baadhi ya sehemu,<ref name=Index>{{cite web|url=http://www.aponline.gov.in/quick%20links/departments/school%20education%20(ssa%20wing)/directorate%20of%20a%20p%20open%20school%20society/introduction/index.html|title=AP Online, Index.html|format=PDF|work=Andhra Pradesh official website|accessdate=16 January 2011}}</ref> wakati lugha zingine zinazozungumzwa mjini hapa ni pamoja na [[Kihindi]], [[Kimarathi]], [[Kitamil]], [[Kannada]], na [[Kioriya]]. Idadi ya wakazi wa mjini hapa ni 84,655,533 - kulingana na sensa ya mwaka wa 2011.