Martin Chalfie : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: gd:Martin Chalfie
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Martin Chalfie-press conference Dec 07th, 2008-4.jpg|thumb|220px|{{PAGENAME}}]]
 
'''Martin Chalfie''' (amezaliwa [[15 Januari]], [[1947]]) ni mwanakemia kutoka nchini [[Marekani]]. Hasa alichunguza sifa za [[protini]] fulani. Mwaka wa [[2008]], pamoja na [[Osamu Shimomura]] na [[Roger Tsien]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.