Robert Grubbs : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:رابرت گرابز
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Robert H. Grubbs portrait-2.jpg|thumb|220px|{{PAGENAME}}]]
 
'''Robert Howard Grubbs''' (amezaliwa [[27 Februari]], [[1942]]) ni mwanakemia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alichunguza mambo ya [[usanisi]]. Mwaka wa [[2005]], pamoja na [[Richard Schrock]] na [[Yves Chauvin]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.