Roderick MacKinnon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (roboti Badiliko: gd:Ruaraidh MacFhionghain
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Roderick MacKinnon 2007.jpg|thumb|220px|{{PAGENAME}}]]
 
'''Roderick MacKinnon''' (amezaliwa [[19 Februari]], [[1956]]) ni mwanakemia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alichunguza usafirishaji wa [[molekuli]] katika [[chembe hai]]. Mwaka wa [[2003]], pamoja na [[Peter Agre]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.