Kurt Wüthrich : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:کورت ووتریش
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Kurt-Wuethrich.jpg|thumb|220px|{{PAGENAME}}]]
 
'''Kurt Wüthrich''' (amezaliwa [[4 Oktoba]], [[1938]]) ni mwanakemia kutoka nchi ya [[Uswisi]]. Hasa anajulikana kwa kuchunguza aina fulani ya [[spektroskopia]]. Mwaka wa [[2002]], pamoja na [[John Fenn]] na [[Koichi Tanaka]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.