Ahmed Zewail : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: be:Ахмед Зевейл
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Zowel.jpg|thumb|220px|{{PAGENAME}}]]
 
'''Ahmed Hassan Zewail''' (amezaliwa [[26 Februari]], [[1946]]) ni mwanakemia kutoka nchi ya [[Misri]]. Hasa alichunguza [[kemia ya femto]], yaani athari za kikemia zilizo haraka sana. Mwaka wa [[1999]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.