Richard Smalley : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:ریچارد اسملی
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Richard Smalley.jpg|thumb|220px|{{PAGENAME}}]]
 
'''Richard Errett Smalley''' ([[6 Juni]], [[1943]] – [[28 Oktoba]], [[2005]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa amefahamika kwa kugundua na kuchunguza mfumo mpya wa [[kaboni]]. Mwaka wa [[1996]], pamoja na [[Robert Curl]] na [[Harold Kroto]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.