Mario Molina : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:ماریو مولینا
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Mario Molina 1c389 8387.jpg|thumb|220px|{{PAGENAME}}]]
 
'''José Mario Molina-Pasquel Henríquez''' (amezaliwa [[19 Machi]], [[1943]]) ni mwanakemia kutoka nchi ya [[Mexiko]]. Hasa alichunguza upunguaji wa [[ozoni]] mahali pa [[Antaktiki]]. Mwaka wa [[1995]], pamoja na [[Paul Crutzen]] na [[Sherwood Rowland]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''. Yeye ni Mmexiko wa kwanza kupata tuzo hiyo.