Paul Crutzen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: fa:پاول کروتزن
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Paul Jozef Crutzen 128.jpg|thumb|220px|{{PAGENAME}}]]
 
'''Paul Jozef Crutzen''' (amezaliwa [[3 Desemba]], [[1933]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Uholanzi]]. Hasa alichunguza upunguaji wa [[ozoni]]. Mwaka wa [[1995]], pamoja na [[Mario Molina]] na [[Sherwood Rowland]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.