Jean-Marie Lehn : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:جان ماری لن
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Jean-Marie Lehn.jpg|thumb|220px|{{PAGENAME}}]]
 
'''Jean-Marie Lehn''' (amezaliwa [[30 Septemba]], [[1939]]) ni mwanakemia kutoka nchi ya [[Ufaransa]]. Hasa alichunguza [[usanisi]] wa molekuli kubwa. Mwaka wa [[1987]], pamoja na [[Donald Cram]] na [[Charles Pedersen]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.