Kanisa la Magharibi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '600px|thumb|center||Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika [[historia ya Kanisa. Unene wa mistari haulingani na ukubwa wa ma...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:BranchesofChristianity.svg|600px|thumb|center||Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika [[historia ya Kanisa]]. Upande wa juu ndio Kanisa la Magharibi, upande wa chini Makanisa ya Mashariki. Unene wa mistari haulingani na ukubwa wa madhehebu husika.]]
'''Kanisa la Magharibi''' (au '''Ukristo wa Magharibi''') linajumlisha [[Kanisa la Kilatini]] na [[madhehebu]] mengine yaliyotokea upande wa [[magharibi]] wa [[Bahari ya Kati]] yakiwa na mwelekeo tofauti na ile ya [[Makanisa ya Mashariki]].
 
Katika [[Karne za kati]], taratibu [[Kanisa la Roma]] liliunganisha magharibi yote chini yake, hata kwa kufuta mapokeo tofauti, kama ya [[Makanisa ya Kiselti]] katika [[visiwa vya Britania]].
 
Hata baada ya Kanisa la Magharibi kupatwa na ma[[farakano]] mengi hasa katika [[karne ya 16]], bado kuna mambo mengi yanayofananisha Kanisa la Kilatini na [[Uprotestanti]].
Line 6 ⟶ 8:
Ndiyo aina ya Ukristo iliyoenea zaidi duniani pamoja na [[ustaarabu]] wa magharibi ulioathiriwa nayo.
 
[[Category:Historia ya Kanisa]]
[[Category:Ukristo]]
 
[[ar:مسيحية غربية]]