Kikabiye : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: br, de, fr, pms, pt
+Ghana
Mstari 1:
'''Kikabiye''' ni [[Lugha za Kiniger-Kongo|lugha ya Kiniger-Kongo]] nchini [[Togo]] na [[Benin]] inayozungumzwa na [[Wakabiye]]. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikabiye nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 700,000. Pia kuna wasemaji 30,000 nchini Benin, na wengine nchini Ghana upande wa Kaskazini. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikabiye kiko katika kundi la Kigur.
 
==Viungo vya nje==
Mstari 9:
[[Jamii:Lugha za Togo]]
[[Jamii:Lugha za Benin]]
[[Jamii:Lugha za Ghana]]
 
[[br:Kabiyeg]]