Blandina Changula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Blandina Changula
d Blandina Changula
Mstari 1:
[[Image:Filamu ya Mkasa.jpg|thumb|right|160px|Moja kati ya Filamu alizoigiza ni hii]]'''Blandina Changula''' ni Muigizaji wa Luninga na [[Filamu]] Nchni [[Tanzania]] Blandina Alizaliwa Tar. [[27 Julai]] 1983 [[Mkoani]] [[Shinyanga]] [[Tanzania]] na baadae kupata [[elimu]] yake ya msingi katika shule ya [[Bugoyi]] [[mwaka]] [[1990]] hadi [[1997]] na kujiunga katika shule ya sekondari ya kutwa ya [[Buluba]] iliyopo [[Shinyanga]] [[mwaka]] [[1998]] hadi [[1999]] kisha akiwa kidato cha pili akahamishiwa katika [[shule]] ya bweni ya [[Kanawa]] hukohuko mkoani [[Shinyanga]] [[mwaka]] [[1999]] hadi [[2000]] na [[mwaka]] huo huo baada ya kuingia kidato cha tatu akahamishiwa jijini [[Dar es Salaam]] katika [[shule]] ya Greens iliyokuwa maeneo ya [[Temeke]] kabla ya kuhamishiwa [[Ubungo]] hivi sasa shule ambayo alimalizia kidato cha nne [[mwaka]] [[2001]]. Blandina Changula anatokea kundi la [[Kaole Sanaa Group]], ni kundi ambalo linafahamika sana nchini Tanzania kwa kutoa nyota wengi wa Uigizaji, Blandina nae ni Mmoja kati ya Nyota
hao, wengine ni [[Steven Kanumba]], [[Vincent Kigosi ]]( Mr Ray ), Tea na wengine wengi tu kutoka [[Kaole Sanaa Group]].