Kitenzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ba:Ҡылым
dNo edit summary
Mstari 7:
Ndani ya shina kuna tofauti kati ya mzizi wa neno "fany" na kiambishi tamati ambacho ni silabi "a".
 
Mzizi wa kitenzi mwenyewe hubadilikihaubadiliki wakati wowote kitenzi kitaponyambuliwa katika kauli yoyote iwayo.
 
Vitenzi kwa Kiswahili hupokea viambishi mbalimbali vinavyoeleza kwa undani zaidi maana ya matumizi ya neno. Viambishi awali ni silabi vilivyopozilizopo mbele ya mzizi na viambishi tamati ni silabi vilivyopozilivyopo baada ya mzizi wa kitenzi.
 
Viambishi awali vinaweza kutaja:
* nafsi ya mtenda - ni nani au nininani anayetenda na hivi ni silabi '''ni''' /'''u''' / '''a''' upande wa umoja na '''tu''' / '''m''' / '''wa''' upande wa uwingi mtawalia katika hali yakinishi na "si"/ "hu"/"ha" kuwa vikanushi vya viambishi vya nafsi za mtenda- umoja na "hatu"/"ham"/"hawa" kuwa vikanushi vya viambishi vya nafsi za mtenda-wingi .
* njeo au wakati - kama tendo linatokea sasa au lilitokea wakati uliopita au litatokea wakati ujao ; mifano ni silabi za '''a''' pamoja na '''na''' kwa wakati wa kisasa, '''li''' kwa wakati uliopita na '''ta''' kwa wakati ujao katika hali yakinishi.
 
Viambishi tamani vinaweza kupanusha au kubadilisha maana ya kimsingi ya mzizi wa neno. Mifano ni kimbi-a, kimbi-lia, kimbili-ana, kimbi-za, kimbi-zana, kimbi-liwa.