Saturnus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:GiorcesBardo6.jpg|thumb|250px|Sanamu hii ya Saturnus imepatikana katika Tunisia yaonyeshwa katika makumbusho ya Bardo]]
'''Saturnus''' ni jina la mungu mmojawapo aliyeabudiwa katini ya [[Roma ya Kale]]. Aliaminiwa kuwa mungu aliyehusika mambo ya kilimo na mavuno. Alitolewa sadaka kwa ajili ya kustawi kwa mazao.
 
Katika masimulizi ya Waroma wa Kale Saturnus alikuwa mwana wa mungu wa mbingu [[Uranos]] na mungu wa kike wa ardhi [[Gaia]]. Alimpindua babake kwa kukata uume wake. Baadaye alihofia ya kwamba watoto wake watampindua vile hivyo alikula watoto wake wote isipokuwa mwana wa sita [[Jupiter]] alifichwa mbele yake. Saturnus alipaswa kukimbia akafikia Italia alipowafundisha wenyeji elimu ya kilimo.