Mmomonyoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.5) (roboti Badiliko: he:סחיפת קרקע
Mstari 33:
 
=== Mmomonyoko wa barafu 1===
[[Picha:YosemiteValley12.jpg|thumb|Bonde la [[Yosemite]] ([[Marekani]]) limekatwa na barafuto miaka milioni 2 iliyopita.]]
[[Barafu]] ikipatikana kama [[barafuto]] (ganda nene la barafu inayoanza kutiririka polepole na kujisukuma mbele)ina uwezo wa kuvunja mawe na miamba mikubwa kabisa na kuzisukuma mbali. Barafuto isipoishia baharini inatoa mito inayoendeleza kazi ya mmomonyoko wa maji.
 
Njia nyingine ya barafu kufinyanga uso wa dunia hutokea pale ambako maji yanaingia kwa mashimo au safu ndogo katika mwamba. Hali ya hewa ikishuka chini ya 0° C majai haya yanaganda na kupanuka hivyo kuvunja mwamba.
 
== Mmomonyoko uliosababishwa na wanadamu ==