Mmomonyoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 26:
Watu wakijenga karibu mno na bahari -kwa mfano mahoteli ya kitalii- wataona mara nyingi ya kwamba nyumba zinachukuliwa na bahari baada ya miaka kadhaa kwa sababu ya mmomonyoko wa pwani wa kawaida.
 
=== Mmomonyoko wa upepoupepoo ===
[[Picha:Pinnacles pano 2005-08-26.jpg|thumb|Nguzo zilizokatwa na upepo na mchanga katika [[jangwa]] la [[Australia]] ]]
Upepo unaweza kupuliza chembe ndogo za udongo kama udongo huu ni laini na kavu. Aina hii ya mmomonyoko hutokea hasa pasipo na mimea inayofunika udongo wa juu. [[jangwa|Jangwani]] kiasi kikubwa cha udongo au mchanga huhamishwa na [[dhoruba]].
 
Upepo ukibeba machanga unaweza kusababisha hata mmomonyoko kwa miamba. Mchanga unarushwa na upepo kwa kasi kubwa dhidi ya mwamba na kuisagasaga.
 
=== Mmomonyoko wa barafu 1===