Sabato : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
sahihisho picha
sahihisho picha
Mstari 3:
'''Sabato''' ([[Kiebrania]]: '''שבת''' ''shabbāt''; Jumamosi kwa [[Kiswahili]]) ni siku ya mapumziko ya kila [[juma]] katika [[Uyahudi]] kwa ujumla na hasa katika nchi ya [[Israeli]].
 
Msingi wa desturi hii ni masimulizi ya [[Biblia]] jinsi Mungu alivyomaliza kuumba mbingu na nchi akaona vema kupumzika siku ya saba.
 
Wayahudi tangu kale walijaribu kufuata mfano huu wakipumzika siku ile ya saba. Sabato husheherekewa kila [[Jumamosi]] kuanzia saa za jioni kwenye [[Ijumaa]] hadi jioni ya Jumamosi.
 
Wayahudi wakifuata dini huanza kwa sala ya jioni kwenye [[sinagogi]] halafu kwa chakula cha pekee.