Adolf von Baeyer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Badiliko: uk:Адольф фон Беєр
better image
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Adolf von Baeyer (Nobel 1905).pngjpg|thumb|Adolf von Baeyer]]
 
'''Adolf von Baeyer''' ([[31 Oktoba]], [[1835]] – [[20 Agosti]], [[1917]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Mwaka wa [[1880]] alifaulu [[usanisi|kusanisi]] [[nili]] na kuendelea kuichunguza. Mwaka wa 1905 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.