Airbus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
Tangu mwaka 2001 Airbus imekuwa kampuni inayotengeneza ndege nyingi duniani. Ni hasa aina mbalimbali za ndege za kusafirisha abiria kama vile [[Airbus 300]] [[Airbus 310]] au [[Airbus 320]]. Tangu mwaka 2007 [[Airbus 380]] ni ndege kubwa kabisa ya kubeba abiria duniani.
 
==Historia==
Kampuni ya Airbus ni tokeo la harakati la kuunganisha makampuni madogo zaidi katika Ulaya kwa shabaha ya kuweza kushindana na makampuni makubwa ya kutengeneza ndege ya Marekani kama vile [[Boeing]] na [[McDonnell Douglas]].
 
Chanzo cha Airbus kilikuwa maungano ya makampuni ya Kijerumani kwa upande mmoja na shirikisho la makampuni ya Kifaransa. Makampuni mengine kutoka Hispania na Uingereza yalijiunga nao na mwanzoni serikali za nchi hizi zilishika asilimia kubwa ya hisa isipokuwa Ujerumani ambako kampuni la Daimler ilishika hisa za taifa hili. Hadi mwaka 2001 Wajerumani na Wafaransa walishika kila asilimia 37.9 za hisa zote, Waingereza asiilimia 20 na Wahispania 4.2.
 
Baadaye washiriki wote waliungana kwa kuunda kampuni la [[EADS]] (European Aeronautic Defence and Space Company) ambayo sasa ni kampuni mama ya Airbus.
 
[[Picha:Lufthansa.a320-200.d-aipz.arp.jpg|thumb|250px|Airbus 320 ni modeli iliyotengenezwa mara nyingi na kampuni hii kuna ndege 2700 za aina hii zinazofanya kazi]]
 
==Aina za ndege==
==== Modeli za kiraia za Airbus ====
{| class="wikitable sortable" style="margin-left:auto; margin-right:auto"