Abati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:StPakhom.jpg|thumb|Picha ya Ki[[Misri|misri]] ya [[Pakomi]], mwanzilishi wa [[umonaki wa kijumuia]].]]
[[Image:Bendeikt von Nursia in Muensterschwazach.jpg|thumb|[[Benedikto wa Nursia]], akishika [[bakora]] na [[kanuni]] yake ([[Münsterschwarzach]], [[Ujerumani]]).]]
[[File:Prepozyt.png|right|thumb|[[Ngao]] ya abati asiye [[askofu]], anayeongoza [[abasia]] ya kawaida. Ile ya abati anayeongoza [[abasia ya kijimbo]] ina kofia ya kijani.]]
Mstari 5:
'''Abati''' ni cheo cha mkuu wa [[monasteri]] yenye [[wamonaki]] wengiwengi (kwa kawaida 12 na zaidi) hasa katika [[Kanisa Katoliki]].
 
Jina linatokana na [[Kilatini]] ''abbas'', [[mkoko]] kutoka [[Kiaramu]] '''אבא''' (''Abba'', yaani "baba"). Kiongozi wa monasteri ya kike anaitwa pengine [[abesi]].
Nchini [[Tanzania]] [[Wabenedikto]] wana maabati [[Peramiho]], [[Ndanda]], [[Hanga]] na [[Mvimwa]].
 
Nchini [[Tanzania]] [[Wabenedikto]] wana maabati katima monasteri za [[Peramiho]], [[Ndanda]], [[Hanga]] na [[Mvimwa]].
 
Maabati wachache wanapewa [[daraja takatifu]] ya [[askofu]] kwa kuwa monasteri yao ina jukumu la uchungaji kwa waamini wa eneo fulani (abasia ya kijimbo), kama ilivyokuwa kwa wale wa Peramiho na Ndanda wakati wa [[umisionari]].
==Viungo vya nje==
* [http://www.valaam.ru/en/photos/lightval/551/ Russian Orthodox Abbot] of [[Valaam Monastery]]
* [http://chass.colostate-pueblo.edu/history/seminar/daniel.htm ''The Pilgrimage of the Russian Abbot Daniel in the Holy Land'']
 
{{mbegu-dini}}
Jina linatokana na [[Kilatini]] ''abbas'', mkoko kutoka [[Kiaramu]] ''אבא'' (''Abba'', yaani "baba").
 
[[Category:Wamonaki]]