Kikoongo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d alihamisha Kikoongo (lugha) kwenda Kikoongo kwa kutengeneza elekezo: mabano siyo lazima
+idadi ya wasemaji
Mstari 1:
'''Kikoongo''' (pia: '''Kikongo''') ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] hasa nchini [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] ambako inahesabiwa kati ya lugha 4 za kitaifa. Kinazungumzwa na [[Wakoongo]]. Idadi ya wasemaji wa Kikoongo kama lugha ya kwanza katika Jamhuri imehesabiwa kuwa watu milioni tatu; pamoja na hayo kuna watu milioni tano ambao huongea Kikoongo kama lugha ya pili. Tena kuna wasemaji wa Kikoongo milioni moja nchini [[Angola]] na milioni moja nchini [[Jamhuri ya Kongo]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kikoongo kiko katika kundi la H10.
 
==Viungo vya nje==