Puerto Rico : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: su:Puérto Riko
http://www.kamusi.org/en/lookup/en?Word=Puerto%20Rico&nocache=1
Mstari 1:
{{Infobox_Country|
common_name = Puerto RicoPwetoriko |
native_name = Estado Libre Asociado de Puerto Rico<br />Commonwealth of Puerto Rico<br /> Dola huruHuru la kushirikishwaKushirikishwa la Puerto RicoPwetoriko |
image_flag = Flag of Puerto Rico.svg |
image_coat = Coat of Arms of Puerto Rico.svg |
Mstari 8:
national_anthem = [[La Borinqueña]] |
official_languages = [[Kihispania]], [[Kiingereza]] |
capital = [[San Juan (Puerto RicoPwetoriko)|San Juan]] |latd=18|latm=29|latNS=N|longd=66|longm=8|longEW=W|
largest_city = San Juan |
government_type = [[demokrasia]] |
Mstari 46:
footnotes = |
}}
[[Picha:Rico.png|thumb|left|300px|Ramani ya Puerto RicoPwetoriko]]
''' Puerto RicoPwetoriko''' ni nchi katika [[Bahari ya Karibi]] ambayo ni eneo la kushirikishwa la [[Marekani]] katika visiwa vya [[Antili Kubwa]]. Iko upande wa mashariki ya [[Jamhuri ya Dominika]] na upande wa magharibi ya [[Visiwa vya Virgin]].
 
Jina la Puerto RicoPwetoriko kwa [[Kihispania]] humaanisha "bandari tajiri".
 
Ilikuwa koloni la [[Hispania]] mpaka ilipovamiwa na Marekani tarehe [[25 Julai]] [[1898]] wakati wa [[Vita ya Marekani dhidi Hispania]] na kutawaliwa kama [[koloni]] hadi [[1917]] ambako watu wa Puerto RicoPwetoriko walipewa [[uraia]] wa Marekani na kiwango cha utawala wa mambo ya ndani.
 
Tangu 1948 gavana amechaguliwa na watu, si kuteuliwa tena na [[rais]] wa Marekani.
 
[[Funguvisiwa]] ya Puerto RicoPwetoriko inajumuisha kisiwa kikuu cha Puerto RicoPwetoriko pamoja na visiwa na funguvisiwa vidogo kama vile [[Mona ( Puerto RicoPwetoriko)|Mona]], [[Vieques ( Puerto RicoPwetoriko)|Vieques]], Monito, Desecheo, Caja de Muertos, Pajaros, Icacos, Palominos, Palominitos, Culebrita, na [[Culebra (Puerto RicoPwetoriko)|Culebra]].
 
Puerto RicoPwetoriko si jimbo kamili la Marekani bali nchi inayojitawala katika mambo ya ndani ilhali siasa ya nje na mambo ya [[uchumi]] hutawaliwa na Marekani.
 
Wakazi ni raia wa Marekani lakini hawashiriki katika uchaguzi wa rais. Kuna mwakilishi wa Puerto RicoPwetoriko katika [[bunge]] la Washington lakini hapigi kura.
 
Watu wa Puerto RicoPwetoriko humchagua [[Gavana]] na wabunge wao.
 
Katika kura za [[1967]] na [[1993]] walikataa kutafuta [[uhuru]] lakini walikataa pia kuwa jimbo kamili la Marekani wakapendelea hali ya eneo la kushirikishwa.