Puerto Rico : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
http://www.kamusi.org/en/lookup/en?Word=Puerto%20Rico&nocache=1
d Masahihisho aliyefanya 190.90.124.18 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Luckas-bot
Mstari 1:
{{Infobox_Country|
common_name = PwetorikoPuerto Rico |
native_name = Estado Libre Asociado de Puerto Rico<br />Commonwealth of Puerto Rico<br /> Dola Huruhuru la Kushirikishwakushirikishwa la PwetorikoPuerto Rico |
image_flag = Flag of Puerto Rico.svg |
image_coat = Coat of Arms of Puerto Rico.svg |
Mstari 8:
national_anthem = [[La Borinqueña]] |
official_languages = [[Kihispania]], [[Kiingereza]] |
capital = [[San Juan (PwetorikoPuerto Rico)|San Juan]] |latd=18|latm=29|latNS=N|longd=66|longm=8|longEW=W|
largest_city = San Juan |
government_type = [[demokrasia]] |
Mstari 46:
footnotes = |
}}
[[Picha:Rico.png|thumb|left|300px|Ramani ya PwetorikoPuerto Rico]]
''' PwetorikoPuerto Rico''' ni nchi katika [[Bahari ya Karibi]] ambayo ni eneo la kushirikishwa la [[Marekani]] katika visiwa vya [[Antili Kubwa]]. Iko upande wa mashariki ya [[Jamhuri ya Dominika]] na upande wa magharibi ya [[Visiwa vya Virgin]].
 
Jina la PwetorikoPuerto Rico kwa [[Kihispania]] humaanisha "bandari tajiri".
 
Ilikuwa koloni la [[Hispania]] mpaka ilipovamiwa na Marekani tarehe [[25 Julai]] [[1898]] wakati wa [[Vita ya Marekani dhidi Hispania]] na kutawaliwa kama [[koloni]] hadi [[1917]] ambako watu wa PwetorikoPuerto Rico walipewa [[uraia]] wa Marekani na kiwango cha utawala wa mambo ya ndani.
 
Tangu 1948 gavana amechaguliwa na watu, si kuteuliwa tena na [[rais]] wa Marekani.
 
[[Funguvisiwa]] ya PwetorikoPuerto Rico inajumuisha kisiwa kikuu cha PwetorikoPuerto Rico pamoja na visiwa na funguvisiwa vidogo kama vile [[Mona (Pwetoriko Puerto Rico)|Mona]], [[Vieques (Pwetoriko Puerto Rico)|Vieques]], Monito, Desecheo, Caja de Muertos, Pajaros, Icacos, Palominos, Palominitos, Culebrita, na [[Culebra (PwetorikoPuerto Rico)|Culebra]].
 
PwetorikoPuerto Rico si jimbo kamili la Marekani bali nchi inayojitawala katika mambo ya ndani ilhali siasa ya nje na mambo ya [[uchumi]] hutawaliwa na Marekani.
 
Wakazi ni raia wa Marekani lakini hawashiriki katika uchaguzi wa rais. Kuna mwakilishi wa PwetorikoPuerto Rico katika [[bunge]] la Washington lakini hapigi kura.
 
Watu wa PwetorikoPuerto Rico humchagua [[Gavana]] na wabunge wao.
 
Katika kura za [[1967]] na [[1993]] walikataa kutafuta [[uhuru]] lakini walikataa pia kuwa jimbo kamili la Marekani wakapendelea hali ya eneo la kushirikishwa.