Tofauti kati ya marekesbisho "Kito (madini)"

23 bytes added ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
(New page: thumb|200px|Vito<br>"turquoise" ni feruzi; "ruby" ni yakuti; [[Image:Emerald specimen with matrix.jpg|thumb|200px|Kito cha Zumaridi katika hali a...)
 
[[Image:Gem.pebbles.800pix.labelled.jpg|thumb|200px|<center>Vito<br>"turquoise" ni feruzi; "ruby" ni yakuti; ]]
[[Image:Emerald specimen with matrix.jpg|thumb|200px|Kito cha Zumaridi katika hali ailiaasilia pamoja na mwamba wa kawaida]]
'''Vito''' (pia: '''johari''', '''mawe ya thamani''') ni madini adimu na ngumu zinazopendekeza kwa sababu ya rangi yao. Vinapendwa na watu na kutumiwa kama mapambo.
 
Mara nyingi vinakatwa au kuchongwa kwa namna mbalimbali na kutumiwa pamoja na metali adili kama [[dhahabu]] au [[fedha]] kuwa mapambo kama [[pete]], [[hereni]], [[mkufu]] au [[bizimu]].
* [[zumaridi]]
 
[[Lulu]] na [[korali]] hutajwa humowakati mwingine pia wakatikama mwinginekito ingawa si minerali asilia lakini dutu inayotengenezwa na wanyama.